Uhuru: Ole wao watakaozua fujo Oktoba 26


Rais Uhuru Kenyatta amekariri kuwa marudio ya uchaguzi wa urais yatafanyika siku ya Alhamisi, kama ilivyoratibiwa na tume ya IEBC, licha ya kinara wa NASA Raila Odinga kujiondoa kwenye kinyang’anyiro. Huku wingu la suitafahamu likitanda, Kenyatta amewahakikishia maafisa wa IEBC na wananchi watakaoshiriki usalama wao, sawa na wafuasi wa nasa watakaohiari kushiriki maandamano kupinga zoezi hilo, kama walivyoagizwa na vigogo wao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Francis Gachuri
More by this author