Uhuru, Raila wahudhuria ibada ya mwisho kabla ya uchaguzi


Rais Uhuru Kenyatta na mgombea urais wa muungano wa Nasa Raila Odinga wamewataka wakenya kudumisha amani siku ya uchaguzi ili kuwepo kwa uchaguzi wa demokrasia na haki. Wawili hao walihudhuria ibada tofauti hii leo huku ikiwa imesalia chini ya saa 24 kabla ya uchaguzi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Stephen Letoo
More by this author