Uhuru: Uchaguzi lazima ufanyike Oktoba 26

Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa taifa litaanda uchaguzi tarehe 26 mwezi huu licha ya upinzani NASA kutaka uchaguzi usifanyike na kuwaonya wale wanaowavamia maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka katika maeneo tofauti humu nchini. Rais Kenyatta pia ametangaza Jumapili kuwa siku ya kuombea taifa kabla ya uchaguzi wiki ijayo

Tags:

Uhuru kenyatta IEBC JUBILEE Wafula Chebukati Roselyn Akombe

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories