Uhuruto na Majaji Maraga na Mwilu wakutana


Nyakati tulizomo humu nchini kisiasa, haziwezi kumruhusu yeyote kupitwa na baadhi ya matukio yaliyojiri katika bustani ya Uhuru hii leo. Kwa mfano, tangu uamuzi wa mahakama ya juu wa kutupilia mbali uchaguzi wa Agosti 8, Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto walishiriki jukwaa moja na Jaji Mkuu David Maraga kwa mara ya kwanza mbele ya hadhara.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author