Uhuruto waongoza kampeni Kitengela

Huku zikiwa zimesalia siku nne kabla ya marudio ya uchaguzi wa urais, Rais Uhuru Kenyatta ambaye pia ni kinara wa chama cha Jubilee amezidi kuwarai Wakenya wa tabaka mbali mbali kujitokeza na kumpigia kura. Akipeleka kampeni zake pande za Kitengela katika kaunti ya Kajiado, rais amesisitia kwamba wale ambao wananuia kususia uchaguzi ujao wana haki ya kufanya hivyo huku akiongeza kuwa pia hawana budi ila kuwaruhusu wale wanaotaka kushiriki katika uchaguzi huo kutekeleza haki yao ya kikatiba.

Tags:

JUBILEE Kitengela UHURUTO

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories