Ujio wa magavana wapya wafungua milango ya ajira mashinani


Magavana wanakabiliwa na tisho la kupoteza pesa nyingi za umma baada ya kuwafuta kazi maafisa wakuu wa kaunti zao bila kufuata taratibu zinazowalinda. Mwenyekiti wa tume ya wafanyikazi wa umma amewaonya magavana kupunguza kasi ya kuwafuta kazi maafisa hao na badala yake kufuata sheria zilizoko ili kujiepusha na kesi mahakamani. Haya yanajiri wakati ambapo serikali za kaunti zimetangaza nafasi za kazi za mawaziri na maafisa wakuu wa kaunti.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author