Ujio wa Odinga wagubikwa na ghasia na uharibifu wa mali

Safari ya ujio wa Raila Odinga kutoka Uingereza ilikumbwa na vurugu, ghasia na uharibifu wa mali huku baadhi ya wasafiri wakilazimika kubadilisha ratba zao katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Wenye magari walijipata taabani kwa misongamano huku wengine magari yao yakiharibiwa na mengine kuchomwa.

Tags:

raila odinga NASA jkia mombasa road

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories