Ukakamavu Wa Msichana Anayeugua Sickle Cell

Kuwa aliyetuumba pekee ndiye ajuaye siku zetu za kuondoka duniani ni suala ambalo Lea Kilenga amekuja kutambua haswa baada ya madaktari kumhakikishia mara tatu kuwa ataaga dunia atakapotimia miaka 21. Lea, ambaye sasa ana umri wa miaka 25 amekuwa akiishi na ugojwa wa Sickle Cell Anemia, ugonjwa unaoathiri chembe chembe za damu zinazosafirisha hewa mwilini. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Safi Godana, Lea ameishi akibaguliwa kwasababu ya ugonjwa aliozaliwa nao. Lakini hajafa moyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories