Ukame na Njaa

Baada ya viwango vya maji kushuka katika hifadhi ya maji ya ndakaini… wakaazi wa jijini nairobi wameanza kuhisi madhara ya kushuka huko. Mitaani foleni ndefu zimeanza kushuhudiwa huku wafanyibiashara wakipandisha bei ya maji mara dufu.

Na kama mwanahabri Saida Swaleh anavyoarifu baadhi ya biashara za kusafisha magari zimefungwa kufuatia uhaba wa maji.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories