Ukame waathiri wakazi na mifugo Pokot

Huku maeneo mengi humu nchini yakishuhudia mvua kubwa, hali ni tofouti katika eneo la Pokot Kaskazini kaunti ya Pokot Magharibi. Idadi kubwa ya wakazi wamelazimika kuhama kutoka makwao kwa sababu ya kiangazi.

Tags:

Drought West Pokot John Lonyangapuo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories