Ukeketaji wasababisha vifo hospitalini Kenyatta

Wasichana wawili kutoka kaunti ya Kajiado wameaga dunia katika nyakati mbili tofauti kufuatia matatizo ya uzazi ambayo husababishwa na ukeketaji. Wa hivi punde aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 13 katika hospitali kuu ya Kenyatta. Ben kirui anaangazia visa hivi vya kutamausha.

Tags:

Kajiado ukeketaji

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories