Ukimwi: kinga yapatikana


Mara nyingi watu walio na virusi vinavyosababisha ukimwi hujifungia na kushindwa kuizungumzia hali yao kutokana na unyanyapaa uliopo hadi sasa katika jami.
Lakini sasa huenda hali hiyo ikapuuziliwa na anyeugua ugonjwa huo pamoja na mwenzake ambaye hana virusi hivo, kwani serikali inatarajiwa kubuni dawa mpya mwezi ujao itakayotumika na watu ambao hawana virusi hivo vya ukimwi ila wako katika hatari ya kupata ugonjwa huo, matahalan kutoka kwa wapenzi wao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: A section of Jubilee MPs jittery with Kenyatta-Odinga pact

Story By Citizen Reporter
More by this author