Ulawiti shuleni Maseno

Unapompeleka mtoto wako katika shule ya upili au yoyote ile, kama mzazi huwa na matumaini kwamba mtoto akifaulu basi wewe ukiwa mzazi pia umepita mtihani wa malezi, lakini utahisi vipi utakapomuona mtoto wako amerudi nyumbani akidai kalawitia shuleni na wanafunzi wenzake au mwalimu akueleze kwamba mtoto anahisi vibaya na kukuficha kwamba amedhulumiwa kimapenzi? Haya ndiyo masaibu ya wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya upili ya Maseno ambao wanasema kwamba viranja wana mamlaka hata ya kuwachapa.

Tags:

Maseno School Ulawiti

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories