Ulemavu wa ajali ya Langta

Zaidi ya wiki tatu tangu kutokea kwa ajali katika barabara ya Lang’ata iliyopelekea kufariki kwa watu watano mmoja wa waathiriwa ambaye amekuwa mlemavu baada ya mguu wake mmoja kukatwa amesalia hospitalini baada ya familia yake kukosa fedha za matibabu takriban milioni sita. Lilian mwikali mwenye umri wa miaka 21 ni miongoni mwa zaidi ya wakenya 4,000 ambao mwaka huu wamehusishwa katika ajali za barabarani na kusalia na majeraha ambayo yamebatilisha maisha yao.

Tags:

Lilian mwikali ajali ya Langáta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories