Ulimwengu waadhimisha siku ya Ukimwi

Leo ikiwa ni siku ya ukimwi ulimwenguni, Wakenya katika kaunti mbalimblai waliiadhimisha chini ya mada, afya yangu, haki yangu. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Laura Otieno, utafiti unaonesha kuwa vijana ndio wako katika hatari kubwa zaidi ya kuambukizwa virusi vya HIV.

Tags:

World Aids Day Nascop

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories