Ulimwengu waadhimisha siku ya upasuaji wa mpira wa uzazi kwa wanaume

Kwa mara ya kwanza humu nchini, maadhimisho ya siku ya upasuaji wa mrija wa uzazi wa kiume umeadhimishwa humu nchini na kuwashirikisha zaidi ya wanaume arobaini. Japo mbinu hii ya mpango wa uzazi ni ya kudumu humu nchini, yaani ukifanya maamuzi hayo hakuna kurudi nyuma tena, baadhi ya wanaume waliotosheka na watoto walio nao wameamua kufungwa uzazi. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Faiza Maghanga ni suala ambalo si la kawaida kufanyika huku mpango wa uzazi ukikisiwa kuwa suala la wanawake.

Tags:

Vasectomy upangaji uzazi upasuaji wa mrija wa mbegu za kiume wanaume

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories