Unga nafuu uko wapi?

Uhaba wa unga wa mahindi huenda ukaongezeka huku wateja wengi wakiendelea kutafuta unga wa serikali wa shilingi tisini. Aidha maduka mengi ya rejreja humu nchini yameamua kutoa bidhaa hii muhimu kwa mgao. Na kama anavyotupasha mwanahabri wetu Denis Otieno, Baraza la magavana limelaumu sriklai kuu kwa kusababisha hali ngumu ya sasa ya chakula humu nchini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories