Unga sasa ni sh 90

Wananchi walifurika madukani wakitafuta unga wa sima ambao serikali iliahidi jana kuwa utauzwa kwa shilingi tisini kwa pakiti ya kilo mbili. Japo baadhi walipoteza matumaini baada ya kukosa unga huo madukani, katika maeneo mengi nchini wananchi walikuwa waking’ang’ania unga huo uliopunguzwa bei, wengi wasiamini kuwa ni unga wa kawaida.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories