Unga wa bei nafuu waadimika madukani

Siku nne baada ya kushushwa kwa bei ya unga wa mahindi kote nchini bado wananchi katika sehemu mbalimbali za mashinani hawajapata unga huo, bado hawajauona sembuse kuununua.

Tags:

JUBILEE UNGA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories