UoN yabatilisha cheti cha seneta Linturi

Chuo kikuu cha Nairobi kimefutilia mbali shahada ya seneta wa Meru Mithika Linturi kwa tuhuma za kuwasilisha stakabadhi ghushi kusajiliwa chuoni humo.
Hatua hiyo ya chuo kikuu cha nairiobi inafuata uchunguzi ulioanzishwa dhiidi ya viongozi 106 kabla ya uchaguzi mkuu wa agosti nane.
Seneta huyo ambaye kwa sasa anaendelea na masomo ya shahada ya uzamili katika sheria amepuuzilia mbali hatua hiyo akisema kuwa hajaarifiwa rasmi.

Tags:

UoN Mithika Linturi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories