Uongozi wa Donald Trump

Baada ya Donald Trump kuchukua hatamu za uongozi wa Marekani alianza harakati za kutekeleza mabadiliko kadhaa ikiwemo bima ya afya, almaarufu Obamacare. Mbali na maswala ya sera, Trump, mkewe Melania na viongozi wengine waliingia kwa haiba katika ikulu ya White House kwenye sherehe za kuanzisha uongozi wake.

Tags:

Donald Trump Obamacare america

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories