Upinzani unahofia mwendo wa IEBC


Siku moja baada ya tume ya IEBC kuwahakikishia Wakenya kuwa iko tayari kuandaa uchaguzi wa Agosti mwaka huu, muungano wa NASA umeorodhesha masuala kadhaa amabayo wanasema yanaashiria tume hiyo kamwe haiwezi kuandaa uchaguzi huru na wa haki. Vinara watatu wa muungano huo wakiongozwa na raila Odinga wanasema Kando na IEBC kuchelewa kununua mfumo wa kuandaa uchaguzi, kuna masuala kadhaa yaliyo gizani na kutilia shaka uchaguzi huo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Story By Sam Gituku
More by this author