Usafiri wa feri: MV Nyayo na MV Harambee zasimamishwa

Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka amejitenga na matamshi ya seneta wa Machakos Johnstone Muthama kuwa aliwapendelea baadhi ya wawaniaji wa viti mbalimbali katika chama hicho. Musyoka ambaye alidinda kumjibu Muthama moja kwa moja aliungwa mkono na viongozi kadhaa ambao walimshawishi Muthama kurejea nyumbani.
Sam Gituku alihudhuria mkutano wa wagombezi wa kisiasa wa wiper na hii hapa taarifa yake.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories