Usajili wa wapigakura

Watu watatu wametiwa mbaroni kwa tuhuma za  udanganyifu katika zoezi la kitaifa la usajili wa wapiga kura linalofikia tamati hapo kesho. Watatu hao, ambao ni maafisa wa huduma ya vijana kwa taifa (nys) walikamatwa katika kanisa la pcea mtaani runda, baada ya wenyeji kuwashuku. Haya yanajiri huku watu watatu waliotiwa mbaroni katika mtaa wa eastleigh wakishtakiwa kwa makosa ya kujaribu kuwahamisha wapiga kura kutoka eneo bunge la kamukunji hadi eneo bunge la mandera kaskazini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories