Usalama wakati wa Krismasi

Hali ya usalama iliimarishwa kote nchini wakati wa sherehe za krismasi huku Inspekta Jenerali wa polisi Joseph Boinnet akizuru maeneo ya Lorogon na Turkwel katika kaunti ya Turkana na kusherehekea miaka miwili ya amani pamoja na wenyeji ambao hapo mbeleni walikuwa hawapaliani moto.

Tags:

usalama Krismasi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories