Ushangaa unaovaliwa na kina mama walioolewa, Turkana

Kulingana na tamaduni na desturi ya jamii ya Waturkana tangu jadi. Wamekuwa wakiheshimu taasisi ya ndoa na kuweka mikakati kabambe kuhakikisha wanandoa wanatenganishwa tu na kifo.

Waturkana waliolewa haswa akina mama huvishwa pete ya aina yake inayoitwa Alagama, ushangaa haufai kutoka shingoni licha ya usasa kuingia na ndoa nyingi kuonekana zikivunjika katika sehemu za mijini, kesi hii ni nadra kutokea na ni kwa sababu ya pete iitwayo Alagama.

Aidha inasemekana iwapo mke ataruka nje ya ndoa kisiri, madhara yataonekana katika familia, wanyama, watoto na hata mume wataanza kuugua na hata kufa.

Tags:

ndoa turkana Alagama

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories