Usiri wa jumba la kifahari la bwanyenye Jimmy Wanjigi


Kwa miaka mingi ameishi maisha yake na familia yake bila kuyaweka hadharani, wachache tu wamkifahamu. Si mwengine bali ni mfanyibiashara Jimmy Wanjigi aliyewapa wakenya fursa ya kuchungulia ndani ya maisha yake baada ya kufanya msako uliogonga vichwa vya habari ndani ya nyumba yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author