Utafiti wa TIFA: Magavana Joho, Mutua na Kabogo waongoza

Iwapo uchaguzi mkuu ungefanyika leo, gavana Hassan Ali Joho wa Mombasa, William Kabogo wa kiambu na Alfred Mutua wa machakos wangechaguliwa tena kuongoza  katika kaunti zao.

 

Hii ni kulingana na utafiti  wa kampuni ya  kura ya maoni ya tifa ambao umedhihirisha kwamba watatu hao wanawashinda  wapinzani wao,huku zikiwa zimesalia siku 139 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa agosti 8. Hata hivyo mgombea ugavana wa Mombasa suleiman shabhbal amepuuzilia mbali utafiti huo na kusema kwamba utafiti huo umelipiwa ili kuonyesha umaarufu ambao haupo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories