Utamaduni wa kumbukumbu za waliofariki kwenye jamii ya Wabukusu

Kwa kawaida mtu anapoaga dunia katika jamii ya wabukusu sherehe za kumbukumbu huandaliwa kwa njia tofauti kulingana na utamaduni wa jamii hii. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu collins shitiabayi, sherehe hizi hutegemea umri wa mtu aliyefariki .

Tags:

Bukusu Luhyia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories