Utamaduni wa kuwakumbuka wafu katika ya jamii ya Wabukusu
Published on: January 01, 2018 08:35 (EAT)
Kwa kawaida mtu anapoaga dunia katika jamii ya wabukusu sherehe za kumbukumbu huandaliwa kwa njia tofauti kulingana na utamaduni wa jamii hii. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu collins shitiabayi, sherehe hizi hutegemea umri wa mtu aliyefariki .
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment