logo
Developing stories

Utekaji nyara Narok

By For Citizen Digital

Mama mmoja kutoka kijiji cha fanaka kaunti ya narok  yuko katika njia panda kwani haelewi ni vipi  mtoto wake wa mwaka mmoja na nusu alivyopotea anakumbuka vyema kuabiri gari la umma akiwa naye na kuelekea hospitalini ila akajikuta mjini kisii,na sasa kilio chake ni kimoja tu,arudishiwe mtoto wake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Citizen Reporter More by this authorMost RecentSponsored Content