Uteuzi wa ODM

Chama cha odm kimekamilisha maandalizi yake ya mchujo katika kaunti za Busia, Machakos na Bungoma ambapo wanachungwa wanatarajiwa kuwachagua wagombea bora katika kura ya mchujo hapo kesho. Katika kaunti ya Busia, wanachama elfu mia mbili wanatarajiwa kujitokeza kushiriki kura hiyo ya mchujo.

Tayari maafisa wa usalama wamesema kuwa hawataruhusu Utovu wa usalama katika shughuli hiyo. Stephen ole letoo yuko katika  Kaunti ya Bungoma na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories