Utulivu waanza kurejea Baringo

Mamia ya watu wamehama kutoka maeneo ya kolowa, chemolingot, tangulbei na churo katika kaunti ya baringo ambapo operesheni ya polisi almaarufu “ operation dumisha amani “ inaendelea. Watu hao wametoroka mwakwao kwa kuhofia kudhulumiwa na polisi wakati wa operesheni hiyo. Operesheni hiyo inanuiwa kuwanasa wanaoendelea wizi wa mifugo na wlaio na silaha haramu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories