Uwanja wa Kasarani washeheni shamra shamra za Jubilee

Ni wangapi wanaopata fursa ya kuketi kwenye kiti cha rais? Ni wangapi wanaopata nafasi ya kumdokezea rais kisha kumpa waraka waliomwandikia? Haya yote yalishuhudiwa siku ya leo kwenye kongamano la chama kipya cha Jubilee katika uwanja wa michezo wa Kasarani na kama Anne Mawathe anavyotuarifu, ilikuwa siku ambayo vyama  vilivunjiliwa mbali ikiwa ni kimoja kinachoitwa chama cha Mafisi

Tags:

JUBILEE Kasarani young ryan

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories