Uzinduzi wa filamu

Viongozi wa sekta mbalimbali za kibinafsi humu nchini wamekutana hii leo katika kongomano lililotathmini ubora wa Kenya katika biashara. Kulingana na magwiji hawa, Kenya ni miongoni mwa nchi bora zaidi barani Afrika katika kuwekeza  kiuchumi.

Tags:

uchumi uwekezaji

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories