Vifaru wapungua nchini kutoka 20,000 hadi 1,022.

Wataalam wa uhifadhi wa wanyama pori wanakusanyika nchini Afrika Kusini hapo kesho kwenye kikao kinachotarajia kuwa na migawanyiko hasa kwa sababu kutakua na mapendekezo ya kufunguliwa kwa soko ya uuzaji wa pembe za ndovu na pembe za vifaru. Kwa upande wake Kenya imekuwa ikipinga kuhalalishwa kwa uuzaji wa bidhaa hizo ikisema inachochea wawindaji haramu kuvamia wanyama pori. Anne Mawathe na maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories