Vigogo wa Nasa wawinda kura Kisumu, Busia na Kakamega

Muungano wa Nasa hii leo imezuru kaunti tatu za Busia Kakamega na Kisumu kuwarai wafuasi wao wasilale siku ya uchaguzi. Vinara wa upinzani wakilegeza kamba kuhusu suala la kulinda kura na kuwataka wafuasi wao wasikabiliane na maafisa wa polisi siku hiyo.

Tags:

raila odinga NASA kisumu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories