Vijana wanaotumia mihadarati wako mashakani

 

Vijana  kumi walioathirwa na  dawa  za kulevya wameuwawa  kwa kuchomwa moto  chini ya miezi minne iliyopita na wakazi wa diani kaunti ya kwale.

Wakazi wanadai kuwa vijana hao wamewahangaisha mno kwa kuwaibia mali nyumbani mwao.  na kama  anavyotueleza  mwanahabari wetu wa kwale nicky gitonga waraibu wa mihadarati wamepoteza matumaini ya kuishi kwani bado serikali haijatimiza ahadi ya kuwajengea kituo cha kuwarekebisha  tabia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories