Vijana zaidi ya 400 wafunzwa ufundi ili kuwaepushana na ugaidi na mihadarati

Jumla ya vijana 400 kati ya miaka 18-35 kaunti ya Kwale waliokuwa katika hatari ya kujiunga na makundi ya kigaidi kama vile al-Shabaab pamoja na utumizi wa mihadarati, wamepata taaluma za kiufundi. Hii ni baada ya kufanya mazungumzo na Rais uhuru Kenyatta chini ya mwamvuli wa shirika la msalaba mwekundu miaka miwili iliyopita katika ikulu ya Mombasa.

Tags:

Drug Abuse Al Shabaab KWALE radicalisation

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories