Vikao vya kusikiliza kesi ya urais vyakamilika katika mahakama ya kilele

Mawakili wa Rais Mteule Uhuru Kenyatta wametetea kuchaguliwa kwake kwa muhula wa pili katika mahakama ya upeo wakitaja kesi mbili zilizowasilsihwa kama za kisiasa. Aidha walalamishi katika kesi hizo wamewataka majaji wa mahakama hiyo kufutilia mbali uchaguzi huo wakisema tume ya IEBC ilivunja sheria hivi kwamba uchaguzi huru na wa haki haungewezekana.

Tags:

supreme court david maraga PRESIDENTIAL PETITION

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories