Vilabu maarufu mtaani Kilimani, Nairobi, vyafungwa

Vilabu vinne maarufu hapa jijini Nairobi vimefungwa usiku wa kuamkia leo kufuatia lalama kutoka kwa wakaazi wa mtaa wa Kilimani kuwa vilabu hivyo vina kelele mno. Aidha masharti makali yamewekwa kabla ya kufunguliwa tena kwa vituo hivyo vya burudani.

Tags:

NEMA Space Jiweke Tavern Kizza

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories