Vinara wa NASA waelekeza kampeni Ukambani
Published on: July 29, 2017 08:28 (EAT)
Vinara wa upinzani leo walipeleka kampeni zao katika kaunti za Ukambani huku wakisema kuwa miradi inayozinduliwa na Jubilee ni njia ya kuwahonga wapiga kura.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment