Vinara wa NASA wafanya mkutano wa kampeni hapa Nairobi


Vinara wa Nasa wamesisitiza kuwa lazima kufanyike mabadiliko ya kutosha katika tume ya uchaguzi IEBC kabla ya uchaguzi kurudiwa. Raila Odinga na Kalonzo musyoka ambao waliongoza mkutano wa hadhara eneo la Mathare waliwaonya Rais Kenyatta na naibu wake dhidi ya kuingilia mahakama ya juu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Stephen Letoo
More by this author