Vinara wa Nasa waonyesha umoja wao Machakos


Vinara wa NASA wamepuuzilia mbali madai kuwa kuna mgawanyiko kati yao kuhusiana na suala la kuapishwa. Wamesema kuwa mipango hiyo inaendelea na kuwa muda wa kufanya mazungumzo unaedelea kwisha. Stephen letoo alihudhuria hafla machakos.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NEWSNIGHT | Kalonzo quizzed over claims of support for Uhuru term extension

Story By Stephen Letoo
More by this author