Viongozi kutoka bonde la ufa watafuta suluhu la usalama


Ukosefu wa usalama katika kaunti ya Laikipia ulikuwa kigezo cha kuwaleta pamoja viongozi themanini kutoka maeneo ya Laikipia, Isiolo, Samburu, Pokot Magharibi na Baringo kutafuta suluhu ya kudumu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author