Viongozi na wadau wa ardhi wakongamana ikulu


Serikali imehakiki kwamba iko katika mkondo ufaao kulainisha  masaibu yaliyozonga wizara ya ardhi kwa miaka na mikaka licha ya changamoto za ufisadi.

Kwenye kongamano la ardhi lililoandaliwa katika ikulu ya nairobi, waziri wa ardhi Jacob Kaimenyi na mwenyekiti wa baraza la kitaifa la ardhi  mohammed swazuri waliahidi kutoa hati miliki millioni 3 kwa wenyemashamba kufikia mwezi juni mwaka ujao.

Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, kwa mara nyingine tena idara ya mahakama ilikashifiwa vikali kwa kulemaza juhudi za kupambana na wanyakuzi wa ardhi.

 

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By Hassan Mugambi
More by this author