Viongozi na wadau wa ardhi wakongamana ikulu


 

Serikali imehakiki kwamba iko katika mkondo ufaao kulainisha  masaibu yaliyozonga wizara ya ardhi kwa miaka na mikaka licha ya changamoto za ufisadi.

 

Kwenye kongamano la ardhi lililoandaliwa katika ikulu ya nairobi, waziri wa ardhi Jacob Kaimenyi na mwenyekiti wa baraza la kitaifa la ardhi  mohammed swazuri waliahidi kutoa hati miliki millioni 3 kwa wenyemashamba kufikia mwezi juni mwaka ujao.

 

Na kama anavyoarifu hassan mugambi, kwa mara nyingine tena idara ya mahakama ilikashifiwa vikali kwa kulemaza juhudi za kupambana na wanyakuzi wa ardhi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: CAS Rachel Shebesh and athlete Asbel Kiprop share their mental health journeys

Avatar
Story By Citizen
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *