Viongozi wa jamii ya Wamaasai wapimana nguvu

Miezi mitano baada ya kifo cha mzee william ole ntimama, jamii ya wamaasai bado haijamteuwa kiongozi ambaye atashikilia wadhifa wa kuwa msemaji wa jamii hiyo.

Hata hivyo viongozi kutoka jamii hiyo wametupilia mbali madai kuwa wadhifa huo ni wa kupewa mtu fulani wakisisitiza kuwa ni sharti kiongozi atakayepewa wadhifa huo akubalike na jamii nzima na awe mkakamavu katika kutetea haki za jamii ya wamaasai.

Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu wa maswala ya kisiasa stephen letoo aliyatadhimini siasa za jamii ya wamaa kinyanganyiro cha kuridhi mahala pa ntimama limeshika kasi huku viongozi kadhaa wakijitokeza na kutaka kiti hicho.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories