Viongozi wa Jubilee waendelea na kampeni

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wametoa hakikisho kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki na kuwa hakuna yeyote yule aliye na njama ya kuiba kura kama inavyodaiwa na wapinzani. Wawili hao wamewataka viongozi wa Nasa kuacha kupoteza muda kwa kuzua madai ya kila mara na badala yake watafute kura kwa wananchi.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE meru Tharaka Nithi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories