Viongozi wa Jubilee wapiga kampeni Embu, Machakos

Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine amekanusha madai kuwa serikali ina njama ya kutumia vikosi vya usalama kuvuruga  uchaguzi na kuwataka wakenya kuombea amani wakati wa uchaguzi. Rais kenyatta ambaye pia alikashifu upinzani kwa kuacha kuingiza jina la jeshi katika siasa.  Aliyasema haya alipoendeleza kampeni za Jubilee katika kaunti za Embu na Machakos

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories